Description
Karibu uchangie ujenzi wa Kanisa jipya la HIM mkoani Mwanza ikiwa ni jitihada za kueneza neno la Kristo Bwana Wetu. Kiasi chochote kuanzia TZS 1,000 kinapokelewa. Lengo ni kukusanya TZS 460,000,000/= ifikapo Dec 25 Krismasi ya 2026. Karibuni sana.

Reviews
There are no reviews yet.